Karibu
PMK INVESTMENT
Wataalamu wa Pikipiki za Umeme na Mafuta pamoja na Spear Parts kwa Bei Nafuu
PMK INVESTMENT ni kampuni ya kuaminika inayojishughulisha na uagizaji, uuzaji na usambazaji wa pikipiki za umeme na mafuta, pamoja na vipuri vyake (spare parts) kwa bei nafuu. Tunahakikisha unapata bidhaa bora kutoka viwandani moja kwa moja, zenye ubora na huduma ya uhakika.
Tunatoka na Pikipiki Kutoka Nchi Zifuatazo:
- China
- India
- Japan
- Uingereza
Huduma Zetu
- Uagizaji wa pikipiki mpya na zilizotumika (umeme na mafuta)
- Uuzaji wa spare parts za aina mbalimbali
- Usambazaji wa bidhaa kwa wateja wa jumla na rejareja
- Ushauri na huduma baada ya mauzo
Chagua PMK INVESTMENT – Tunakuletea ubora kwa bei rafiki!
Wasiliana Nasi
📍 Location: Morocco, Kinondoni – Dar es Salaam
📞 Simu: +255 787 215 961
📧 Email: shop@pmk-motors.store